Channel: Mziiki
Category: Music
Description: #live #livestreaming #youtube #twich Bahati Bukuku ni msanii wa kusifika nchini Tanzania, hata hivyo uwezo wake wa kuandika nyimbo za injili umemwezesha kufanikiwa katika tasnia ya muziki. Kile ambacho kinamhamasisha kueneza ujumbe chanya wa injili ni mapenzi yake ya ukristo. Tamasha hili litafanyika kupitia mtandao wa YouTube Jumamosi tarehe kumi na moja mwezi Aprili. Bahati Bukuku – Praise and Worship special Performance by: Bahati Bukuku (@officialbahatibukuku) Licensed to: Ziiki Media Ltd. YouTube by: Mziiki Follow us on Facebook @Mziiki, Twitter @Mziiki & Instagram @Mziiki